Waliopotea kizuizini

Uhamiaji ni mada motomoto katika muktadha wa kisiasa wa Marekani. Hata hivyo, biashara ya kizuizini na haki za binadamu kwa ujumla si vipengele vilivyojumuishwa kwenye mazungumzo. Filamu ifuatayo ya dakika 53, Waliopotea kizuizini ambayo inapeperushwa kwenye PBS huleta ukweli unaopuuzwa mara nyingi kwa umma.

"The astonishing and unprecedented footage in Lost in Detention has the power to change how people understand the immigration crisis and motivate them to act. The film starts with the highly criticized Secure Communities (S-Comm) program and goes on to give a look at the overall system of detention and incarceration – and on the physical and sexual abuse that has become commonplace.”--PBS
 

Kiswahili